Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote.
Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi Omary Diwani, ambaye pia mkuu wa polisi wilaya ya kipolisi Makambako, akiwa ofini kwake ambapo vyama vya kisiasa kesho vinatarajiwa kuanza mikutano ya kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November 27.
Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote.
Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi Omary Diwani,ambaye pia mkuu wa polisi wilaya ya kipolisi Makambako, akiwa ofini kwake ambapo vyama vya kisiasa kesho vinatarajiwa kuanza mikutano ya kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November 27.