Polisi Marekani wamejiwa juu baada ya kupiga picha na jambazi na kuposti kwenye mitandao ya jamii

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!


Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
 
ubaguzi wa rangi unawatesa wamarekani
 
Huku tunaita kiki sijui kwa huko kwao wanaitaje sasa.
 
Mi nafikiri kwenye syche ya watu weupe/wazungu,mtu mweusi wanamuona kama mnyama kiumbe ambaye hajakamirika
 
We blacks still have a long way to go, it's pathetic to see things like this happening in this century and in countries that are more organized than ours. Kama angekuwa from other race, hawangefanya huo utopolo. F them all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…