Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
KWAKWELI! 😅Sawa muhimu wasitupandishie nauli tu
ExactlyPolisi Wachape kazi barabarani kuwe salama
Leo nmepanda bajaji na nmekaa mbele na sijashika simu, sasa kwann useme abiria akiwa mbele bc anashika simu?derev anakuwa kashikilia usukani, abiiria ana simu yake na kuchati , unachomoka na kupiga kichwa chini, maisha yako unakuwa taahira, ubongo umekwisha.