Hivi polisi ni CCM ? Hivi tukishika sisi madaraka hao polisi tunawafanya je?Kwa hii statement ya PoliCCM basi safari ya Kamanda Mdude imeishia hapo,bahati mbaya Mdude damu yake imemwagika katika ardhi iliyojaa masheta.
#Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua Mdude hajachukuliwa na Task force
Ulikuwepo mwaka 2000 baada ya uchaguzi? Unakumbuka damu iliyomwagwa kule Zanzibar? Haya mambo ni way back yanafanyika.Yeye Magufuli alikuwa na unafuu gani sasa? Si ndo alianzisha haya. He is to blame 100%.
Watanzania wana akili timamu na wanaipenda nchi yao ndiyo maana mtu yeyote anaejitokeza na kuleta purukushani kamwe awawezi kumuunga mkono ata siku moja. Mwisho wa siku unabaki mwenyeweKwa matukio yaliyopita mabaya ya watu kujeruhiwa,kuuwawa na hili la Mdude kupotezwa na polisi sina hakika kama yu hai ilitosha kabisa watanzani nchi nzima kufanya maandamano kupinga uchafu huu ila ni bahati mbaya sana sisi wananchi TUMELOGWA tumejikita na umbeya kwa Mange pamoja na Simba na Yanga.
Ulikuwepo mwaka 2000 baada ya uchaguzi? Unakumbuka damu iliyomwagwa kule Zanzibar? Haya mambo ni way back yanafanyika.
Kwa matukio yaliyopita mabaya ya watu kujeruhiwa,kuuwawa na hili la Mdude kupotezwa na polisi sina hakika kama yu hai ilitosha kabisa watanzani nchi nzima kufanya maandamano kupinga uchafu huu ila ni bahati mbaya sana sisi wananchi TUMELOGWA tumejikita na umbeya kwa Mange pamoja na Simba na Yanga.
Hii video mkuu imeniumiza sana, basi tu
Kabla ya magufuli watu walikuwa hawatekwi?Yeye Magufuli alikuwa na unafuu gani sasa? Si ndo alianzisha haya. He is to blame 100%.
WatajeKabla ya magufuli watu walikuwa hawatekwi?
Hamjielewi.Wataje
Waliotoa taarifa kuwa ni polisi ndo wamemchukua wahojiwe inawezekana wanawafahamu hao polisi
Una taabu sana duniani na aheraHamjielewi.
Waambie wapitie huu uzi hapa..
Nipo so disappointed ☹️ mdude hatunae tena.Hapa ndugu wajiandae tu kutafuta mwili wa mdugu yao, maana nayo pia ni bahati. Ni ukweli mchungu, kama mamlaka inasema haijui alipo means hata hayupo kwenye matibabu. Kuvuja vile damu salama yake ni kuwa mikononi mwa wataalam wa afya na si mahali pengine popote. This is so sad!
KUMUUA MDUDE IMENIUMA SANA. KAMA MUNGU YUPO BASI AJIONESHE KWENYE HILI
iNimeamua kuipuuza hiyo taarifa; watuambie wamemuweka wapi?
Vv
Walishamuua ili kukwepa msala wameona wakanushe.Kwa hii statement nachelea kusema, Mkude is no More aisee