Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Wakuu,
Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa.
Kwamba wanawaogopa sana CHADEMA kuliko watekaji?
Kwamba wanahakikisha CHADEMA haitokuja kushika dola kwa namna yoyote ile ili waendelee kumfurahisha nani?
Nimewaza sana sijapata majibu.
Pia soma
- Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja