Polisi: Mbowe amepelekwa Dar kwa Mahojiano, atarejeshwa Mwanza

Safi kabisa!

Mbowe anamlaumu Samia kwamba hachukui hatua zozote kuzuia kusambaa kwa corona ila bado anahamasisha vikongamano uchwara vyake! Bure kabisa.

Huyu mtu (Mbowe ) hana tofauti na wale wanyama wanaolinda usiku lakini ni wale koko
 
Wanatumia vibaya kodi zetu. Kwanini asi hojiwe kwa mawaliliano ya mtandao. Yaani police huwa nawashangaa sana
 
Kwamba akihojiwa mwanza itakuaje mpaka wamlete dar?
 
Niliumia sana na ile kauli ya mdude kwa mama, lakini kadri siku zinavyozidi kwenda najiona taratibu naanza kumchukia bimkubwa.
 
Sasa nguvu ya umma wanayojivunia Hawa chaduma iko wapi,mbona wanachezeshwa singeli na kushikwa makagari bila kuandamana.

Hawa watu wapuuzi Sana,nguvu na vurugu zao ziko mitandaoni lakini huku uraiani watu wote wanaiunga mkono serikali ya awamu ya sita.

Jamaa akitoka huko rumande anapaswa ajue kuwa watu hawapo pamoja naye hata Kama atacharazwa bakora hadharani hakuna wakuhoji
 
Ubongo wako umeoza!
 
Episode 1 tayari imeisha
Episode 2 coming soon
Katika movie ya KATIBA MPYA
 
MipoliCCM nitutusa kweli. Sasa walimficha wa nini tangu wamkamate? Shame upon them.
 
Ni kipengere gani cha katiba ya cha alichokivunja?
 
Wamfunge tu ijulikane now tumechoka na mambo yao

Ila siku police yeyote akijichanganya kwenye 18 zangu nafumua ubongo

I'm tired with these idols!
Utakuata na wewe unaongea kumbe muonekano wako ni sawa na ka mbwa kanakolala chumbani kwenye kochi.
Ila sauti na mkwala utazani ni bulldog.
 
Wametumia usafiri upi?,na gharama zipi?
Kumpeleka na kumrudisha mwanza?
 
Hivi kamanda Sirro hata aibu kidogo za kibinadamu tu haoni?

Kwamba?

"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; ....."

Si amalizie tu --- makosa mengine ya madawa ya kulevya, utakatishaji pesa, na ule upuuzi wote wa siku zote?

Haki kuitafuta kuna gharama kama:

- Kwa yaliyotokea Mwanza halipo Jipya

Ni lazima tuwe tayari kuilipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…