Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Utampata wapi sasa,yaani utoke kujiuza hadi kumfumua polisi ubongo...mjinga sana weweWamfunge tu ijulikane now tumechoka na mambo yao
Ila siku police yeyote akijichanganya kwenye 18 zangu nafumua ubongo
I'm tired with these idols!
Afande huyo alipata adhabu ya kifo? Siku hizi wapinzani hawafi! Wanaokufa ni wale tu wanao Saidia CCM! Prof. Baregu sijui kwa nini alikufa il hali ni CHADEMA!Hawa polisi hawajajifunza toka kwa Kamanda hayati Jonathan Shana, alikuwa afande mwenye mahaba ya dhati na chama cha mbogamboga akiwa rpc arusha! Lakini aliishia pabaya akapata presha akatangulia!!
Nafikiri bado somo halijawaingia vizuri
Tuko pamoja! Tuanze kujua wanakoishi na familia zao kwanza!Wamfunge tu ijulikane now tumechoka na mambo yao
Ila siku police yeyote akijichanganya kwenye 18 zangu nafumua ubongo
I'm tired with these idols!
Miye na polisi tu and it is now personal!Tuwe wavumilivu, unapo fanya chokochoko na fujo kuna majibu yake. Kabla kuwasulubu jirani zako kwa unayoyaona ni makosa, kwanza jiangalie kama wewe uko vizuri na huna dosari...
Anajua nini huyo anajua kutiksa makalio tu na kutafuta madangaNi kipengere gani cha katiba ya cha alichokivunja?
Mi hawa jamaa wako kama mafala fulani hiviMambo ya hovyo sana haya!!!
Anaogopa, duh.Ingia barabarani kamanda
The plane might crush, Mbowe be careful!Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.
"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.
Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.
Mwananchi
Endeleeni, tu ipo siku mtakua pekee yenu na mtajuta,Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.
"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.
Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.
Mwananchi
Matumizi mabaya ya pesa ya umma.Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya Kingdom mtaa wa Ghana alikokifikia.
"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.
Amesema kiongozi huyo wa Chadema hivi sasa yuko kwenye mikono salama ya polisi Mkoa wa Dar es Salaam na atarejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.
Mwananchi
Akashauri mahabusu anakowekwa ambako hata chumba kimoja wanalala kibao ku take social distance wakati chumba ni kimoja ambacho social distance Hai i applySafi kabisa!
Mbowe anamlaumu Samia kwamba hachukui hatua zozote kuzuia kusambaa kwa corona ila bado anahamasisha vikongamano uchwara vyake! Bure kabisa.