Polisi, mimi na mtuhumiwa

king mjuni

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
93
Reaction score
15
Samahani wanajamvi mimi nina swali na pia nisaidiwe:, Nina ndugu yangu yupo kituo cha polisi kwa kosa la kununua mali ya wizi:-

Swali 1. Je naweza kupata dhamana yake?
Swali 2. Je naweza kupata namna nzuri ya kumaliza kesi yake
Swali 3. Je ni haki kukaa pale kituoni kwa siku mbili sasa

Tatizo lililopo pia ni kwamba kafunguliwa kesi ya uchunguzi juu ya mali zake anazomili kama ni halali ambazo wanadai hazina mdhamana, lakini pia mtu mwenye mali husika yupo na anataka kiasi cha shilingi 60000//= kama fidia ya mali yake
MSAADA KWA HILO WANASHERIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaweza kuapata dhamana ndio, kosa lina dhaminika, kukaa zaidi ya masaa 24 bila kupelekwa mahakamani ni makosa kisheria.... kufanyiwa uchunguzi wa mali anazomiliki sio kosa.
 
60,000???????? nyuma ya nondo 2 days kwa 60,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…