Polisi Mkoa wa Njombe: Ukiachwa Valentine Day usijiue ni kosa kisheria

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.

Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine Day ambayo hufanyika tarehe 14 mwezi wa pili kila mwaka.

Amesisitiza kuwa kuachwa katika mahusianoni jambo la kawaida hususani pale ambapo mmoja wao anapoishiwa hisia
 
Kosa kwa mujibu wa sheria kwahio anataka kuwakamata wakishakuwa maiti🤣🤣
 
Mwambie apitie huu uzi:

Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.

Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine Day ambayo hufanyika tarehe 14 mwezi wa pili kila mwaka.

Amesisitiza kuwa kuachwa katika mahusianoni jambo la kawaida hususani pale ambapo mmoja wao anapoishiwa hisia
Sio anapohishiwa hela🤣🤣🤣🤣
 
Mtu akijiua utamshtaki kwani
Ndiyo imeisha hiyo

Ova
 
Back
Top Bottom