Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kosa kwa mujibu wa sheria kwahio anataka kuwakamata wakishakuwa maiti🤣🤣Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Sio anapohishiwa hela🤣🤣🤣🤣Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine Day ambayo hufanyika tarehe 14 mwezi wa pili kila mwaka.
Amesisitiza kuwa kuachwa katika mahusianoni jambo la kawaida hususani pale ambapo mmoja wao anapoishiwa hisia