Polisi mkoani Iringa limetangaza vita dhidi ya wagaga wa kienyeji wanaochochea vitendo vya ubakaji

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Tumalize maadhimisho haya kwa kuahidi kuchukua hatua dhidi ya Ukatili wa Kijinsia na kujenga Dunia yenye Haki na Usawa

Sote tuna jukumu la kuhakikisha tunakuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta mabadiliko ya kweli

Soma Pia: Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

=======
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limetangaza vita dhidi ya wagaga wa kienyeji ambao wamekuwa wakiwashawishi wananchi kuwabaka watoto wadogo na kuwalawiti kwa kigezo cha kupata utajiri wa haraka.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…