Polisi mkuu wa Kenya (IGP) avunjika mikono akiwalipua waandamanaji.

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
1,805
Reaction score
1,876
Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya.

Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha kawaida?

Hata ingekuwa wa cheo cha chini mimi nimefurahi fundisho hilo kwa mapolisi wakuda wa aina yake.

Safi sana Mungu.
 
Sio IGP tangu lini IGP akaingia mtaani kupambana na waharifu ,vijana wa CHADEMA muwe mnatumia akili

USSR
 
Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya.

Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha kawaida?

Hata ingekuwa wa cheo cha chini mimi nimefurahi fundisho hilo kwa mapolisi wakuda wa aina yake.

Safi sana Mungu.
Hao askari wenye vyeo vikubwa wanaota mavutambi tu ukija field wanakuwa weupe hata kutumia silaha vyema kwao ni changamoto
 
Haiwezi kuwa kweli Kwa 100%.maana IGP hawezi kushika bunduki kushughulika na waandamanaji.yeye ni kuagiza tu kama chief hangaya anavyoagiza Mauzo ya Nchi Kwa waarabu kupitia Kwa mwiguli chemba na desemba makamba
 
Jamaa alikatika viganja, ile video inatisha.
Inasemekana alichelewa kulilipua, likamlipukia.
 
Back
Top Bottom