SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Sio IGP tangu lini IGP akaingia mtaani kupambana na waharifu ,vijana wa CHADEMA muwe mnatumia akiliInasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya.
Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha kawaida?
Hata ingekuwa wa cheo cha chini mimi nimefurahi fundisho hilo kwa mapolisi wakuda wa aina yake.
Safi sana Mungu.
Hao askari wenye vyeo vikubwa wanaota mavutambi tu ukija field wanakuwa weupe hata kutumia silaha vyema kwao ni changamotoInasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya.