R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Nov 21, 2025 #1 Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
F Full Blood Picture JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 4,476 Reaction score 9,583 Nov 21, 2025 #3 Yaani mtujumiwa anaweka masharti ya kutotajwa. Damu nzito kuliko maji, lazima taifa lisimame pamoja kukataa wauwaji.
Yaani mtujumiwa anaweka masharti ya kutotajwa. Damu nzito kuliko maji, lazima taifa lisimame pamoja kukataa wauwaji.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Nov 21, 2025 #4 Watume basi meseji haraka za kutuzuia kuangalia. Si huwa wanatuona siku zote hatuna akili!
M Mtanzania2020 JF-Expert Member Joined May 23, 2020 Posts 1,033 Reaction score 2,307 Nov 21, 2025 #5 Retired said: Nailiza polisi wetu tunawafanyaje VMM? Click to expand... Labda watatekwa😆
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Nov 21, 2025 #6 Wamtume Muliro Nairobi akawakamate😁
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Nov 21, 2025 #7 Uuaji walioufanya polisi unaendelea kuwekwa wazi, unaweza watisha watu kwa mufa flani, lakini huwezi watisha watu kwa muda wote. Unaweza fikcha ukweli kwa muda flani, lakini huwezi ficha ukweli kwa muda wote.
Uuaji walioufanya polisi unaendelea kuwekwa wazi, unaweza watisha watu kwa mufa flani, lakini huwezi watisha watu kwa muda wote. Unaweza fikcha ukweli kwa muda flani, lakini huwezi ficha ukweli kwa muda wote.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Nov 21, 2025 #8 Jamaa kichwani hawapo vizuri..
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Nov 21, 2025 Thread starter #9 Mtanzania2020 said: Labda watatekwa😆 Click to expand... 😂😅😃🤣
Thesonboy JF-Expert Member Joined Nov 20, 2025 Posts 895 Reaction score 2,499 Nov 21, 2025 #10 Kuna documentary zingine zitaendelea kutoka. Hayo mauaji yanatisha sana sidhani kama yanawezekana kufumbiwa macho
Kuna documentary zingine zitaendelea kutoka. Hayo mauaji yanatisha sana sidhani kama yanawezekana kufumbiwa macho
maranguvillage JF-Expert Member Joined Sep 8, 2023 Posts 2,338 Reaction score 5,286 Nov 21, 2025 #12 Kazini kuna Kazi