Polisi mnayemuweka mataa ya Central azingatie muda wa SGR

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Huyu askari anazuia magari mpaka abiria wanazuiwa kuingia kwenye sgr si sawa hii.

Zingatieni muda wa train ya sgr mbona vitu havihitaji shule kubwa jamani.
 
Huyu askari anazuia magari mpaka abiria wanazuiwa kuingia kwenye sgr si sawa hii !! Zingatieni mda wa train ya sgr mbona vitu havihitaji shule kubwa jamani
Mimi nilishawahi kushuka kwenye gari na kutembea kwa miguu ili niwahi.
 
Huyu askari anazuia magari mpaka abiria wanazuiwa kuingia kwenye sgr si sawa hii.

Zingatieni muda wa train ya sgr mbona vitu havihitaji shule kubwa jamani.
Kwa mazingira ya hizi foleni ni vizuri kujipa muda wa kutosha ili uwahi bila stress, mambo ya barabara zetu ni mengi na hayatabriki.
 
wahi wahi bana acha kulalamikia polisi we alikuambia nani muda wakufika kituoni ndio uwe unatoka nyumbani?? unatak upendeleo kisa unaenda panda SGR vipi wanaoenda airport nao?? vipi wanaenda mbezi magufuli kupanda mabasi? Jitahidi kupanga mambo yako mapema uwahi kituoni muda muhafaka na kuacha kufikiria upendeleo barabarani. ukishindwa vumilia panda bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…