Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nani anatafuta huruma ?Mmeishiwa hoja mnabaki kutafuta huruma ya Wananchi
Nani anatafuta huruma ?
Mmeishiwa hoja mnabaki kutafuta huruma ya Wananchi
Wapinzani wa nani?Wapinzani
Wapinzani wa nani?
Ya uchaguzi wa serikali za mitaa au?Wa maendeleo
Mmeishiwa hoja mnabaki kutafuta huruma ya Wananchi
Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !
ShitMmeishiwa hoja mnabaki kutafuta huruma ya Wananchi
Mkuu hii nchi ilipofikia anatafutwa wa kuchomoa betri tuHivi huyu kilaza wa polisi akiitwa mahakamani akatakiwa kuonesha hiyo sheria inayozuia wananchi kushangilia ushindi wowote ule atasema nini. Yaani mtu analala usiku akiamka asubuhi baada ya kufuta matongotongo anaanza kuropoka hovyo namna hii ndiyo mtindo mpya wa huu utawala...masikini Tanzania!
Kamhudumie mumeo achana na SisiMmeishiwa hoja mnabaki kutafuta huruma ya Wananchi
wanasema kaachwa .Kamhudumie mumeo achana na Sisi
wanasema kaachwa .
RPC wa morogoro anaitwa nani?Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !
RPC wa morogoro anaitwa nani?Hivi huyu kilaza wa polisi akiitwa mahakamani akatakiwa kuonesha hiyo sheria inayozuia wananchi kushangilia ushindi wowote ule atasema nini. Yaani mtu analala usiku akiamka asubuhi baada ya kufuta matongotongo anaanza kuropoka hovyo namna hii ndiyo mtindo mpya wa huu utawala...masikini Tanzania!