Polisi Mtwara wanamshikilia Hamida Said kwa kuvaa dera la Chadema katika kipindi cha maombolezo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Huu Umoja na mshikamano viongozi wanaouimba majukwaani ndiyo huu? Uhuru wa nguo ya kuvaa ni haki ya binadamu, CCM mnataka wapinzani waishi kama second class citizens!
 
View attachment 1730816
Huu Umoja na mshikamano viongozi wanaouimba majukwaani ndiyo huu? Uhuru wa nguo ya kuvaa ni haki ya binadamu, CCM mnataka wapinzani waishi kama second class citizens!
usikute hata wakubwa huko juu hakutoa maagizo ya hovyo kama hivi , bali hii mipolisi inafanya kazi kwa mazoea ya kujipendekeza , na mingi yao elimu ni ndogo, sasa hapo wanamfungulia kesi ganiiiii...? zaidi ya kumbambikia kesi ya kutunga.........?
 
Alafu utasikia limtu linapayuka alituachia mshikamano na upendo kwa yapo hayo yakubaguana!! Ila Mungu Mwachen aitwe Mungu Kwa kukifanya kifo hii ndo adhabu ya viumbe wote wapole na wakorofi kama Jiwe na Madikteta wengine wanaoona wataishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…