Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huu ni mpira,
Hii ni soka,
Hii ni Derby.
Mbona hamjawahi kuwakamata wanaosema "timu yangu ikifungwa mnikate kichwa?
Maneno makali,
Maneno ya kukera,
Ndio Utamu wa derby.
PIA SOMA
- Polisi wamkamata GB 64 akidaiwa kuhamasisha Watu kufanya vurugu mechi ya Yanga Vs Simba