Polisi mwachieni huru GB 64, Utani wa jadi hauna kanuni maalum ya kuongea

Huu ni mpira,
Hii ni soka,
Hii ni Derby.
Mbona hamjawahi kuwakamata wanaosema "timu yangu ikifungwa mnikate kichwa?
Maneno makali,
Maneno ya kukera,
Ndio Utamu wa derby.
#FREEGB64#
 
Nimeangalia interview yake yote sijaona kosa lolote, tena jamaa ana akili sana.
Timu zetu hizi kubwa tunahitaji mashabiki wa aina ya GB 64, aachiwe haraka.
Sahihi mkuu.
 
Nimeangalia interview yake yote sijaona kosa lolote, tena jamaa ana akili sana.
Timu zetu hizi kubwa tunahitaji mashabiki wa aina ya GB 64, aachiwe haraka.
Hukuiona jinai?

Ova
 
Hukuiona jinai?

Ova
Nilipoiona hii quote nikajua nimekwisha!

B… wakati natoa hayo maoni niwe mkweli nilikuwa nimeangalia interview moja aliyohojiwa kupitia Manara TV alikuwa amekaa kijiweni na aliongelea masuala ya msingi ya sana.

Hiyo yenye masuala ya jinai ilikuwa bado kuiona, sorry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…