Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

Hiyo hiyo juzi usiku askari wawili walipata ajali barabara ya Himo Mwanga wakiwa na pikipiki. mmoja alivunjika mfupa wa paja na leo hii anafanyiwa opereseheni ya nyonga, wapuuzi sana hawa form four failure.
 
Mapendekezo:
1.Maslahi ya polisi yaboreshwe,haya yote wanayofanya chanzo ni njaa,serikali inafumbia macho maslahi ya polisi taabu tunapata sisi raia wema.

2.Jeshi la polisi lifanyiwe mageuzi.
Maslai yako sawa, tatizo jeshi linatumika kisiasa ndio madhara yake haya.
 
 

Attachments

  • IMG_0470.MP4
    13 MB
Mapendekezo:
1.Maslahi ya polisi yaboreshwe,haya yote wanayofanya chanzo ni njaa,serikali inafumbia macho maslahi ya polisi taabu tunapata sisi raia wema.

2.Jeshi la polisi lifanyiwe mageuzi.
Hakuna cha Mslahi wala nini, hawa washazoea kukochukulia hatua mkononi bila kufuata miongozo yao ya Kazi,PGO,. Mfano mzuri wakina Mahita na Kingai wana njaa gani mpaka wachukue hela za wakina Lingwaya bila kuziandikia kwenye Register?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mageuzi yapi ndugu. Wewe umeona wanaoajiriwa wawe na elimu gani na pia ulimsikia waziri wao. Unaona ni akili za kubadilika. Kazi ina laanaa.
Uchawi unaanziaga kwenye vitendo kama hivi. Unaloga hadi kizazi chake cha kumi na wote watakaokula hiyo hela
DADEK!¡!!!!![emoji135]
 
Mageuzi yapi ndugu. Wewe umeona wanaoajiriwa wawe na elimu gani na pia ulimsikia waziri wao. Unaona ni akili za kubadilika. Kazi ina laanaa.
Uchawi unaanziaga kwenye vitendo kama hivi. Unaloga hadi kizazi chake cha kumi na wote watakaokula hiyo hela
Mimi nawakubali sana Wapemba wanajua kudili sana na dhuluma za hawa Mumiani Polisi wa Bongo. Kuna Mpemba mmoja alikuwa mfanyabiashara wa Samaki wabichi anawatoa feri na pick anaenda kuwauza Mbagala. Kuna Siku moja asubuhi wakati anatoka Ferry maeneo ya Chang'ombe Traffic wakakamata ile pick up wakaunda zengwe pale ili ionekane na kosa,Mpemba akawaambia naomba mniandikie faini nilipe niwaishe mzigo kabla haujaharibika. Trafiki akamwambia usinipangie Kazi yangu,trafiki wakaandika faini kubwa sana ni kipindi kile kabla ya hizi machine zao. Dereva akamwambia nipe risiti naacha leseni yangu napeleka mzigo narudi.

Trafiki akamwambia gari haitoki bila kulipa fine,gari ikapelekwa Chang'ombe Polisi,Mpemba aliomba sana hadi machozi lakini jamaa wakakomaa. Alichofanya Mpemba awaambia basi Mimi nawaachi hao Samaki mkitaka kuleni,akamwambia Dereva tuondoke wakaondoka,baada ya siku tatu dereva akapeleka hela yao,lakini haikupita wiki yule Trafiki wakati anarudi nyumbani kwake akaangukiwa na mti akafariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…