Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

Kuna kitu alifanya huyu jamaa, Askari sio wajinga kumpiga mtu, Tena mpaka kutumia silaha ili wapate vijipesa...

[emoji41]Nina wasiwasi na sura ya huyo mfanyabiashara
 
Kama ni kweli basi safi sana........

Sema alikosea angemwambia ww dawa yako inachemka.
 
Mmeshindwa hata kuwa rekodi hao polisi ili tuwaone?
 
Picha nimeiweka kwa ridhaa wala haina shida,na ndiyo maana katoa na maelezo ya jinsi alivyotendewa,magedso ya mpakani hasa huku mpakani Kilimanjaro ni eneo moja ambalo limekuwa na changamoto sana.ukiona polisi wamekamata magendo ujue wamesindwana bei
 
Hii habari sio sahihi

Mwanga ni wilaya na Himo ipo wilaya ya moshi
Sasa mtoa habari sema hao polisi kutoka Mwanga waje mpaka Himo?
 
Picha nimeiweka kwa ridhaa wala haina shida,na ndiyo maana katoa na maelezo ya jinsi alivyotendewa,magedso ya mpakani hasa huku mpakani Kilimanjaro ni eneo moja ambalo limekuwa na changamoto sana.ukiona polisi wamekamata magendo ujue wamesindwana bei
Kwa hiyo unasapoti magendo?
 
Kuna kitu alifanya huyu jamaa, Askari sio wajinga kumpiga mtu, Tena mpaka kutumia silaha ili wapate vijipesa...

[emoji41]Nina wasiwasi na sura ya huyo mfanyabiashara
Askari sio wajinga kivipi wakati waliingia malawi kijinga hadi wakafukuzwa kazi?
 
Mapendekezo:
1.Maslahi ya polisi yaboreshwe,haya yote wanayofanya chanzo ni njaa,serikali inafumbia macho maslahi ya polisi taabu tunapata sisi raia wema.

2.Jeshi la polisi lifanyiwe mageuzi.
Kwani watumishi wengine wa umma wanamudu vipi maisha.????
 
Mapendekezo:
1.Maslahi ya polisi yaboreshwe,haya yote wanayofanya chanzo ni njaa,serikali inafumbia macho maslahi ya polisi taabu tunapata sisi raia wema.

2.Jeshi la polisi lifanyiwe mageuzi.
Ulishaambiwa wanaajiliwa waliofeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…