Huko milimani mobna kawaida sana hiyo! Hapo hakuna cha ajabu!Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.
Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025, ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya Ilemela.
Kamanda Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu Mkoani humo.
“Tumekuwa tukipokea taarifa kutoka kwa Wananchi kuhusu wahalifu wanaojificha katika mapango na maeneo ya milimani wakijiandaa kutekeleza matukio ya uhalifu, hasa kuelekea mwishoni mwa mwaka. Hii imetulazimu kuchukua hatua za haraka,” amesema Kamanda Mutafungwa
wapigeni chumaJeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.
Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025, ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya Ilemela.
Kamanda Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu Mkoani humo.
“Tumekuwa tukipokea taarifa kutoka kwa Wananchi kuhusu wahalifu wanaojificha katika mapango na maeneo ya milimani wakijiandaa kutekeleza matukio ya uhalifu, hasa kuelekea mwishoni mwa mwaka. Hii imetulazimu kuchukua hatua za haraka,” amesema Kamanda Mutafungwa
Je sio wale wahuni wa mapangoni aliokuwa akiwasema hppJeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.
Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025, ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya Ilemela.
Kamanda Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu Mkoani humo.
“Tumekuwa tukipokea taarifa kutoka kwa Wananchi kuhusu wahalifu wanaojificha katika mapango na maeneo ya milimani wakijiandaa kutekeleza matukio ya uhalifu, hasa kuelekea mwishoni mwa mwaka. Hii imetulazimu kuchukua hatua za haraka,” amesema Kamanda Mutafungwa
HIyo ni sehemu ya kuimarisha ulinzi mkuu..wasipofanya hivyo mtaani itakua tabuHaya mapoliccm haya kum.anina zao
ku.manyo.ko toka lini polisi wakaimalisha ulinzi una mdanganya nani, pm fake bwana guys si amesema kuna kijana kapewa bil 5 za maandamano si ndiyo hao waimalisha ulinzi mbona hawajamkamata, polis wa tz wapo kwaajili ya kuilinda ccm na watawala hawapo kwaajili ya rai kbs mle kumejaa makada na mauvccm tupu mamaee wallah.HIyo ni sehemu ya kuimarisha ulinzi mkuu..wasipofanya hivyo mtaani itakua tabu