Mkuu hii ni jokes punguza jazba au wewe ni Afande ?Ni upuuzi wa kimawazo wa level ya phd kuhusisha kosa la mtu mmoja ukaididisvalue jamii yote ya watu wa kariba yake......
kwani wasomi wangapi waliohitimu elimu ya juu wanagonga yai viza la maana kwenye ngeli..??..