Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Ni hivi karibuni tu mwanachama gaidi wa CCM bwana Hamza kutokana na ripoti za uchunguzi wa Polisi ameua Askari polisi wetu watatu na mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kujeruhi askari wengine na RAIA wema.
Aliyekuwa mwenyekiti wa Vijana wa CCM bwana Kheri James alitamka hadharani kuwa Walimkosa kosa kumuua Tundu Lissu kwa risasi lakini watatumia kuua kwa njia ya sumu na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya kauli zake za ugaidi huo.
Kuonesha kuwa CCM wanaua RAIA kwa Sumu kweli na kwa njia zingine Makamu mwenyekiti wa CCM bwana Philip Mangula akiwa ktk kikao cha Chama na viongozi wenzie wa CCM alilishwa SUMU na kunusurika kufa baada ya kukimbizwa hospital na kulazwa kwa muda wa siku kadhaa. Polisi walithibitisha kuwa Mangula alipewa sumu akiwa ktk kikao nyeti na wana CCM wenzie lakini mpka sasa hakuna aliye kamatwa wala kuhisiwa aliyetaka kumua Mzee wetu huyu.
Ninyi polisi endeleeni kuhangaika na ugaidi hewa wa wanasia wa upinzani huku mkifumbia macho ugaidi halisi wa CCCM.
Watanzania wa Leo sio wajinga.
CC. Mataga