Utii wa sheria bila shuruti ni kampeni ya Dini zote. Hivi karibuni Jeshi la polisi Tanzania limeanzisha kampeni ya Utii wa sheria bila shuruti ikiwa ni moja ya miradi mikuu ya falsafa ya Polisi Jamii inayoendeshwa na Jeshi la Polisi nchini. Jambo ambalo linanishangaza kuna watu wanaoipinga dhana hii, pengine ni kutoielewa vizuri. Dhana au kampeni hii ina maana kuwa " kila mmoja kwa wakati wake aogope dhambi, na wala asilazimishwe kuepeuka kutenda dhambi...: Kumbuka makosa yote ni dhambi! Kazi ya Jeshi la Polisi ni sawa na kazi ya watumishi wa Mungu katika dini zote... kuongezeka kwa maovu kuna maanisha kuwa watu wa Mungu wa dini zote, wame mwacha Mungu. Asanteni kwa kunisikiliza:tea: