Tetesi: Polisi na Wananchi

Afadhali jambazi anakuvamia ukijua ni jambazi kuliko polisi anayetumia magwanda kukupa kesi na kukupiga virungu bila kosa na kukusachi halafu pesa na simu wanachukua

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzushi hautakusaidia kitu tii sheria bila shuruti. Ukifanyiwa ndivyo sivyo chukua hatua kwa kufata ngazi. Hata km itabidi kwa jambazi wewe nenda tu lkn chukua hatua, usitegeme kutoa hitimisho kwa habari za upande mmoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati utawatamani hao polisi na hutawapata ndiyo utajua maana ya maneno yako. Endelea kuwachukia hata ukivamiwa na majambazi usiende polisi nenda kwa wahalifu wengine ukawashtakie huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sa we ukivamiwa unawaita polisi wanini?hata mi siwapendi asilani kwa tabia zao,hayajakukuta wewe au pengine ndio hao hao.badilikeni na mjue yako maisha baada ya upolisi
 
Sa we ukivamiwa unawaita polisi wanini?hata mi siwapendi asilani kwa tabia zao,hayajakukuta wewe au pengine ndio hao hao.badilikeni na mjue yako maisha baada ya upolisi
Shauri yako ngoja ufanyiwe uhalifu ndiyo utajua kua hao si watu wabaya kihivyo. Sina mamlaka ya kukufanya ukubaliane nami endelea kuwachukia ni haki yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeshaenda kote, baada ya kujua wote ni wapuuzi niliamua kuwaacha naendlea kivyangu nimepata simu nyingine maisha yanaendlea.
Acha kuchafua taasisi za watu, viongozi huwaga hawana shida maana wamefunzwa uongozi. Kwa maelezo yako kuna kitu umekificha nyuma ya pazia mwizi wewe!!!

5/5
 
hahahahaha duuuh umetisha... Real sijui mini hata Mimi chaniingia juu ya hawa watu
 
Aisee kweli fukuto la chuki baina ya police na raia wa kawaida Lipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati utawatamani hao polisi na hutawapata ndiyo utajua maana ya maneno yako. Endelea kuwachukia hata ukivamiwa na majambazi usiende polisi nenda kwa wahalifu wengine ukawashtakie huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nachojua wengi tunaenda toa tarifa tuu na sio kusaidiwa nao na kama umejeruhiwa wakupe kibali cha kwendea hospitalini

unaeza wapigia simu muda watukio wasije ai wasipokee kabisa
 
Kumbe Polisi wengi humu, uzuri mmeona wenyewe mnavyochukiwa.
Shukuru mna siraha mkiweka bundiki chini mtabuluzwa vibaya mno.

Dawa yenu ni gari miguuni mwenu.
 
Nachojua wengi tunaenda toa tarifa tuu na sio kusaidiwa nao na kama umejeruhiwa wakupe kibali cha kwendea hospitalini

unaeza wapigia simu muda watukio wasije ai wasipokee kabisa
Hayo madai yako ni kwenye matukio machache tu ingekua hivyo kwa matukio yote basi amani ingeshatoweka zamani sana. Hayo ni mambo ambayo yanarekebishika fahamu kua hata hao polisi nao wanachangamoto sana manake mambo hayapo perfect kama inavyotakiwa wana upungufu wa rasilimali vifaa na watu na mambo mengine mengi tu ikiwemo baadhi yao kukosa maadili lkn kwa ujumla wanajitahidi. Ukiwachukia itakua na athari hasi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…