Polisi nchini Kenya walazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaoshinikiza baadhi ya viongozi wa IEBC kujiuzulu.
Hii ni baada ya waandamaji hao kuchoma moto matairi na kufunga barabara katika maeneo ya Kisumu.
Uchaguzi wa marudio nchini humo unatarajiwa kufanyika Oktoba 26.
ITV