Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Polisi nchini Nigeria wanachunguza kukatwa kichwa kwa mbunge wa jimbo la kusini-mashariki la Anambra ikiwa ni wiki moja baada ya watu wenye silaha kumteka nyara pamoja na msaidizi wake.
Mwili wa Okechukwu Okoye ulipatikana mwishoni mwa juma ukiwa na majeraha ya kukatwa ambapo Gavana wa jimbo la Anambra Charles Soludo amelaani mauaji hayo na kusema ni ya kinyama, na ya kushtua.
Hadi sasa mamlaka hazijabaini aliye nyuma ya mauaji hayo japokuwa zawadi kubwa imetangazwa kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa wahusika
..........................
Police in Nigeria are investigating the beheading of a local MP in the south-eastern state of Anambra barely a week after gunmen kidnapped him along with an aide.
The discovery of Okechukwu Okoye's mutilated body over the weekend has sparked outrage.
Anambra's state governor Charles Soludo described the killing as gruesome, barbaric and shocking.
He announced a reward for information leading to the killers' capture.
It's not clear who was behind the attack.
Officials have blamed a banned separatist group for increasing violence in the region.
The Indigenous People of Biafra, which is campaigning for a breakaway state, has denied involvement in recent attacks.
Its leader, Nnamdi Kanu, is standing trial for terrorism and treason-related charges which he has denied.
Source: BBC