Mungu tusaidie ikikupendeza, uwa hukue hao majeruhi waliotumaliza October 29Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi Gezaulole, Kigamboni, na baadaye Polisi Kati (Central), Dar es Salaam.
Hata hivyo, kinachozua hofu na maswali mazito ni kwamba ndugu zake walipofika Kituo cha Polisi Gezaulole waliambiwa amehamishiwa Chang'ombe. Walipofika Chang'ombe, walielezwa kuwa mtu huyo hajafikishwa katika kituo hicho. Kwa sasa ndugu zake wanaelekea Polisi Kati (Central) kuendelea kumtafuta.
Jambo la kuhuzunisha zaidi ni kwamba simu zake bado zinaita lakini hakuna anayezipokea, huku mahali alipo na hali yake vikiwa havijathibitishwa.
Mazingira haya yanaibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wake na iwapo kweli amechukuliwa na vyombo rasmi vya dola. Kwa kuzingatia kuwa Mr. Jose Mbeya ni mwanachama wa CHADEMA, hali hii inazua pia hofu kwamba huenda tukio hili likawa miongoni mwa matukio ya utekaji yanayodaiwa kufanyika kwa kutumia kivuli cha Polisi. Hata hivyo, bado hakuna uthibitisho wa kutosha kufikia hitimisho hilo.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona familia ikizunguka kutoka kituo kimoja cha Polisi kwenda kingine bila kupata majibu ya uhakika kuhusu ndugu yao.
Tunatoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa ufafanuzi wa haraka kuhusu mahali alipo Mr. Jose Mbeya, hali yake ya usalama na sababu za kuchukuliwa kwake, ikiwa kweli anashikiliwa na Polisi.
Familia yake inastahili kupata majibu, na haki zake za msingi zinapaswa kuheshimiwa.
Mungu amlinde Mr. Jose Mbeya popote alipo. Tunatumaini atapatikana akiwa salama.
ποΈ HAKI YA KUISHI, KUWA SALAMA NA KULINDWA NA SHERIA NI HAKI YA KILA MTANZANIA. Tafadhali saidia kusambaza ujumbe huu, Jose sio Gaidi
Stupid, kwanini walikubali wamtoe bila "jeshi" la wananchi kuhakikisha kweli ni polisi. Mnawapiga picha za kutosha tu na mnaandamana nao kuhakikisha wamempelela kituoniKwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi Gezaulole, Kigamboni, na baadaye Polisi Kati (Central), Dar es Salaam.
Hata hivyo, kinachozua hofu na maswali mazito ni kwamba ndugu zake walipofika Kituo cha Polisi Gezaulole waliambiwa amehamishiwa Chang'ombe. Walipofika Chang'ombe, walielezwa kuwa mtu huyo hajafikishwa katika kituo hicho. Kwa sasa ndugu zake wanaelekea Polisi Kati (Central) kuendelea kumtafuta.
Jambo la kuhuzunisha zaidi ni kwamba simu zake bado zinaita lakini hakuna anayezipokea, huku mahali alipo na hali yake vikiwa havijathibitishwa.
Mazingira haya yanaibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wake na iwapo kweli amechukuliwa na vyombo rasmi vya dola. Kwa kuzingatia kuwa Mr. Jose Mbeya ni mwanachama wa CHADEMA, hali hii inazua pia hofu kwamba huenda tukio hili likawa miongoni mwa matukio ya utekaji yanayodaiwa kufanyika kwa kutumia kivuli cha Polisi. Hata hivyo, bado hakuna uthibitisho wa kutosha kufikia hitimisho hilo.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona familia ikizunguka kutoka kituo kimoja cha Polisi kwenda kingine bila kupata majibu ya uhakika kuhusu ndugu yao.
Tunatoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa ufafanuzi wa haraka kuhusu mahali alipo Mr. Jose Mbeya, hali yake ya usalama na sababu za kuchukuliwa kwake, ikiwa kweli anashikiliwa na Polisi.
Familia yake inastahili kupata majibu, na haki zake za msingi zinapaswa kuheshimiwa.
Mungu amlinde Mr. Jose Mbeya popote alipo. Tunatumaini atapatikana akiwa salama.
ποΈ HAKI YA KUISHI, KUWA SALAMA NA KULINDWA NA SHERIA NI HAKI YA KILA MTANZANIA. Tafadhali saidia kusambaza ujumbe huu, Jose sio Gaidi
Walikuja politely, anyways kuna uzembe ulifanyika huenda.....ila tuhakikishe tu usalama wake kwa sasa. Inauma sanaStupid, kwanini walikubali wamtoe bila "jeshi" la wananchi kuhakikisha kweli ni polisi. Mnawapiga picha za kutosha tu na mnaandamana nao kuhakikisha wamempelela kituoni
Uko sahihiNiliwahi kutoa ushauri na ninaurudia tena.
Wasomali wanaweza kukopeshana pesa bila makaratasi wala dhamana sababu wanaulizana tu chimbuko la ukoo na ukishataja jina wanajua ukoo wako ni upi hivyo huwezi kukimbia na ukikimbia umeugharimu ukoo wako wote kuanzia baba , mama , kaka , dasa na kadhalika na hao watabanishwa na pesa itarudi hivyo hiyo imejenga uaminifu bila mifumo rasmi kama makaratasi au dhamana za vitu.
Sasa narudi katika matukio ya utekaji , hao watekaji wapo duniania hawatoki sayari ya Mars , wanao dada , mama, kaka , baba shangazi na kadhalika hivyo kama njia hii ikitumika kupeleka ujumbe kwa kupitia ndugu wa watekaji maana wao wanaona hawagusikia sababu ya bastola, pingu , bunduki wanazopewa na CCM basi ujumbe na maumivu yaelekezwe kwa ndugu zao.
Ndugu zao wanakaa mitaani humo humo na mkitaka mnawajua ikifanyika mifano kama mitatu tu nawahakikishia heshima na kuthamini utu kutarudi.
Wewe pigwa miti kwanza wakikumwagia ndio akili itarudi ***** kabisa.Unaliamrisha na kutoa Amri kwa jeshi la Polisi Ukiwa kama nani? Huna adabu kabisa Wewe.
Nyie CHADEMA ni wa kukamatwa tu tena hata bila ya kufuata utaratibu.
Mfano kile kidada Ki Hilda Newton Siku ya kukamatwa kwake inatakiwa kutandika hadi Virungu kila Sehemu ya mwili wake hadi akili akikae sawa .
Sina Huruma kanisa kwa CHADEMA Mimi Maana ni watu wa hovyo Sanaaaa. Embu Angalia kama huyo Hilda Newton kila siku anafanya kazi ya kutukana na Kuwadhalilisha viongozi wetu .
Nasema hivi sina huruma na yeyote anayeitwa CHADEMA. Kila Baya na chungu liwe juu yenu .Mpate Mateso makali kila Mkikamatwa hadi akili ziwakae sawa
Wewe matako kaa kimya, mbwa weweUnaliamrisha na kutoa Amri kwa jeshi la Polisi Ukiwa kama nani? Huna adabu kabisa Wewe.
Nyie CHADEMA ni wa kukamatwa tu tena hata bila ya kufuata utaratibu.
Mfano kile kidada Ki Hilda Newton Siku ya kukamatwa kwake inatakiwa kutandika hadi Virungu kila Sehemu ya mwili wake hadi akili akikae sawa .
Sina Huruma kanisa kwa CHADEMA Mimi Maana ni watu wa hovyo Sanaaaa. Embu Angalia kama huyo Hilda Newton kila siku anafanya kazi ya kutukana na Kuwadhalilisha viongozi wetu .
Nasema hivi sina huruma na yeyote anayeitwa CHADEMA. Kila Baya na chungu liwe juu yenu .Mpate Mateso makali kila Mkikamatwa hadi akili ziwakae sawa
Mpumbavu huuyu, shoga mmojaWewe pigwa miti kwanza wakikumwagia ndio akili itarudi ***** kabisa.
Kuna mbwa kama wewe waliwahi kusema haya haya unayosema, yalipowakuta hawakuamini. I am sure you will soon be in the list too......Nasema hivi sina huruma na yeyote anayeitwa CHADEMA. Kila Baya na chungu liwe juu yenu .Mpate Mateso makali kila Mkikamatwa hadi akili ziwakae sawa
Unaliamrisha na kutoa Amri kwa jeshi la Polisi Ukiwa kama nani? Huna adabu kabisa Wewe.
Nyie CHADEMA ni wa kukamatwa tu tena hata bila ya kufuata utaratibu.
Mfano kile kidada Ki Hilda Newton Siku ya kukamatwa kwake inatakiwa kutandika hadi Virungu kila Sehemu ya mwili wake hadi akili akikae sawa .
Sina Huruma kanisa kwa CHADEMA Mimi Maana ni watu wa hovyo Sanaaaa. Embu Angalia kama huyo Hilda Newton kila siku anafanya kazi ya kutukana na Kuwadhalilisha viongozi wetu .
Nasema hivi sina huruma na yeyote anayeitwa CHADEMA. Kila Baya na chungu liwe juu yenu .Mpate Mateso makali kila Mkikamatwa hadi akili ziwakae sawa
Sina Huruma na CHADEMA MimiHuu uzi wanatakiwa kuchangia wanaume walio sober.
Wewe mwanamama mjane maliza kwanza eda ndio uje uandike gazeti ulivyojisikia baada ya mumeo kufa.
Kwa muoga kulienda kicheko na kwa shujaa kulienda kilio!Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi Gezaulole, Kigamboni, na baadaye Polisi Kati (Central), Dar es Salaam.
Hata hivyo, kinachozua hofu na maswali mazito ni kwamba ndugu zake walipofika Kituo cha Polisi Gezaulole waliambiwa amehamishiwa Chang'ombe. Walipofika Chang'ombe, walielezwa kuwa mtu huyo hajafikishwa katika kituo hicho. Kwa sasa ndugu zake wanaelekea Polisi Kati (Central) kuendelea kumtafuta.
Jambo la kuhuzunisha zaidi ni kwamba simu zake bado zinaita lakini hakuna anayezipokea, huku mahali alipo na hali yake vikiwa havijathibitishwa.
Mazingira haya yanaibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wake na iwapo kweli amechukuliwa na vyombo rasmi vya dola. Kwa kuzingatia kuwa Mr. Jose Mbeya ni mwanachama wa CHADEMA, hali hii inazua pia hofu kwamba huenda tukio hili likawa miongoni mwa matukio ya utekaji yanayodaiwa kufanyika kwa kutumia kivuli cha Polisi. Hata hivyo, bado hakuna uthibitisho wa kutosha kufikia hitimisho hilo.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona familia ikizunguka kutoka kituo kimoja cha Polisi kwenda kingine bila kupata majibu ya uhakika kuhusu ndugu yao.
Tunatoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa ufafanuzi wa haraka kuhusu mahali alipo Mr. Jose Mbeya, hali yake ya usalama na sababu za kuchukuliwa kwake, ikiwa kweli anashikiliwa na Polisi.
Familia yake inastahili kupata majibu, na haki zake za msingi zinapaswa kuheshimiwa.
Mungu amlinde Mr. Jose Mbeya popote alipo. Tunatumaini atapatikana akiwa salama.
ποΈ HAKI YA KUISHI, KUWA SALAMA NA KULINDWA NA SHERIA NI HAKI YA KILA MTANZANIA. Tafadhali saidia kusambaza ujumbe huu, Jose sio Gaidi
Huruma siyo Malezi. CHADEMA ni wakushikishwa adabu tuKuna mbwa kama wewe waliwahi kusema haya haya unayosema, yalipowakuta hawakuamini. I am sure you will soon be in the list too......
πππ Kama una hasira Sanaa Basi kunywaa Sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniWewe matako kaa kimya, mbwa wewe
Sina Huruma na CHADEMA Mimi
Kati ya mtukanaji na muuwaji yupi mwenye nafuu? Nakuuliza bwana chawaUnaliamrisha na kutoa Amri kwa jeshi la Polisi Ukiwa kama nani? Huna adabu kabisa Wewe.
Nyie CHADEMA ni wa kukamatwa tu tena hata bila ya kufuata utaratibu.
Mfano kile kidada Ki Hilda Newton Siku ya kukamatwa kwake inatakiwa kutandika hadi Virungu kila Sehemu ya mwili wake hadi akili akikae sawa .
Sina Huruma kanisa kwa CHADEMA Mimi Maana ni watu wa hovyo Sanaaaa. Embu Angalia kama huyo Hilda Newton kila siku anafanya kazi ya kutukana na Kuwadhalilisha viongozi wetu .
Nasema hivi sina huruma na yeyote anayeitwa CHADEMA. Kila Baya na chungu liwe juu yenu .Mpate Mateso makali kila Mkikamatwa hadi akili ziwakae sawa
Wewe ni mpumbavu tu na limbukeni mmoja, muda wako utafikaHuruma siyo Malezi. CHADEMA ni wakushikishwa adabu tu