Polisi semeni ni Wapi mmepeleka Jose Mbeya Mwanachama wa CHADEMA?

Hawa viongozi wa upinzani nao wana shida sana ya security, hadi leo inaingia akili kweli unajua muda wowote unatekwa na hujaweka vifaa vya ulinzi angalau nyumbani kwako Kama camera tu? Bora utekwe kwnye misele ushahidi unaweza kuwa shida Ila nyumbani kwako? Tena alfajiri au usiku? Ni uzembe kwa ujumla!
 
Ni muhimu mamlaka kutoa ufafanuzi wa haraka kuhusu alipo Jose Mbeya na kuhakikisha usalama wake. Familia ina haki ya kupata taarifa sahihi, na suala hili linahitaji kushughulikiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria.
 
Camera zipo na namba za gari zilishapatikana, kila kitu kiko vizuri tunaenda vizuri tutawaaibisha. Ngoja tuone
 
Itakuwa jambo la maana familia nzima ipige kambi kwenye kituo cha polisi mpaka kieleweke.
 
Qmmmk unafrwa ww
 
Amefanya nini mpaka akamatwe, kuwa mwanachama wa Chadema hakumfanyi mtu awe immune na kukamatwa
 
Camera zipo na namba za gari zilishapatikana, kila kitu kiko vizuri tunaenda vizuri tutawaaibisha. Ngoja tuone
Weka namba za gari hadharani. Ikiwezekana na picha ili waone aibu lkn mnavyozihifadhi mnakosea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…