Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Nimetafakari kauli ya rais, nimebaki na maswali mengi. Majukumu ya jeshi la polisi ni yapi?
Wao si ndio wana msemaji wao?
Au hapa alimaanishanisha nini?
Kwamba wananchi wafanye nini hayo yote yanapotokea? Hao wengine ni akina nani ikiwa wanajitoa kusema wanaitwa wachochezi?
Watanzania wenzangu ukidhani uko salama kwakuwa hujaguswa moja kwa moja na matukio haya, basi endelea kusifia. Kauli za kiongozi wa nchi zinaweza kuokoa au kuangamiza taifa.
Tuliombee sana taifa letu.