technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Tembelea mikoa mingi, hali ni hiyo hiyo zimefanana. Only wale wanaokaa moshi mjini atleast kuna afadhal na kale kaghorofa.Niliwahi tembelea makazi ya polisi Dodoma -FFU
Asee hata kuku wanalala pazuri jamani
Ila ndo kwanza wanapiga watanzania wenzao kama mbwa koko
IGP Wambura a.k.a Gaidi la Samia!Mpaka sasa sioni kosa la polisi mana wao wanatii amri za maboss wao, wa kulaumiwa ni hao viongozi wao.
Sasa kama kazi yenyewe unaajiriwa kwasaabu ya kuwa MREFU, MBIO na KIFUA KIPANA kama MCHENGERWA na siyo AKILO unategemea nn toka kwa polisi???Niliwahi tembelea makazi ya polisi Dodoma -FFU
Asee hata kuku wanalala pazuri jamani
Ila ndo kwanza wanapiga watanzania wenzao kama mbwa koko
Wakiwa mafunzoni hadi katika uwanja kiutendaji, huwa wanaelekezwa kutii amri zisizo halali na za kihayawani?Mpaka sasa sioni kosa la polisi mana wao wanatii amri za maboss wao, wa kulaumiwa ni hao viongozi wao.
Magaidi wenyewe wanavaa kirembo sana na ki-jentromeni na uturi juu.Tanzania inaongozwa na kundi la magaidi
Elimu,Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa
Kwa walimu pia
Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi
Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja
Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua
Polisi jitambueni sisi sio milima tutakutana shuleni, hospitali na sokoni
Pia mtakufa kwa kuteseka na kwa umasikini uliokithiri!!
Police Tanzania tubuni na mache kufuata amri uchwara!!
Mavazi duni, mlo duni kamshahara duni, akili duni, watakua na stress wasameheni tuuNiliwahi tembelea makazi ya polisi Dodoma -FFU
Asee hata kuku wanalala pazuri jamani
Ila ndo kwanza wanapiga watanzania wenzao kama mbwa koko
Viongozi wao si nao police?Mpaka sasa sioni kosa la polisi mana wao wanatii amri za maboss wao, wa kulaumiwa ni hao viongozi wao.
Neno "duni" umelirudia mara nne.Hii ni kumaanisha kwamba tuna askari wenye mgogoro katika akili zao/vichaa.Mavazi duni, mlo duni kamshahara duni, akili duni, watakua na stress wasameheni tuu
Haya yote ni uongo.nina jirani yangu ni polisi ana v mbili ubavuni lakini anamaisha mazuri sana na anamiliki maghorofa mengi hapa mjini Dar Hadi nilimuuliza Siri ya mafanikio yake akasema ni kujituma kazini.Mavazi duni, mlo duni kamshahara duni, akili duni, watakua na stress wasameheni tuu
Umeelewa nilichokiandika?Viongozi wao si nao police?