Polisi Tanzania vs Yanga: Macho yangu yote kwa huyu jamaa

Hili goli la polisi limekataliwa,hii wachambuzi maandazi hawataongea.

Ingekuwa upande wa Simba ungewasikia wiki nzima wakilaumu waamuzi,wakiongizwa na mhamasishaji wao asiyejua mpira.
Ila sisi tunamwambia matukio kama hayo ni ya kawaida sana. Refarii anaweza kuwa sahihi au akaamua tu kupendelea kama leo.

Karibuni mechi ya saa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Vyura Mungu amewalipa ubaya wao hapa hapa kabla hata jogoo halijawika. Mechi ya Lipuli tayari Mwamuzi kala ban ya miezi mitatu kwa Kukataa goli la Lipuli. Huyu wa leo vs Polisi naye kawapa Point 1 ya bure naye ataishia kupigwa bana na kamati ya saa 72
 
Hivi mbute mbute fc gongowazi vyura [emoji196][emoji196][emoji196] lini mtaacha uvivu na kuanza kuanzisha nyuzi? Mbona hamjiamini hadi mshinde ndio kelele zinakua nyingi.

Haya matokeo leo yapoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…