POLISI, TRA: Bodaboda na Bajaj za Umeme zifungwe Plate number mbele na nyuma

POLISI, TRA: Bodaboda na Bajaj za Umeme zifungwe Plate number mbele na nyuma

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Polisi wao ni watekelezaji wa sheria, Bunge ni watungaji wa Sheria baada ya CPD kuzipitia.

Mapenedekezo yanatoka katika idara husika.

Sasa, Bodaboda zina plate number kwa nyuma tu ila mbele hazipo na hazina, akifanya uhalifu huwezi kuona , hili jambo TR na Polisi wahusike

Camera za usalama zitakazofungwa barabarani hasa mwendokasi hazitosaidia kama vyombo hivi havitakuwa na plate number, lakini pia hizi pikipiki na babjaj za umeme sasa ziwekewe namba, zinagonga magari, zinafanya uhalifu basi zitungiwe sheria.
 
Hujaeleweka. Kwa nini umesema za umeme? Na kwa nini unasema bodaboda na sio pikipiki? Kwani ulienda shule ipi, ya kata?
 
Back
Top Bottom