Polisi trafiki kuruhusu waendesha pikipiki kuvunja sheria mchana kweupe

Polisi trafiki kuruhusu waendesha pikipiki kuvunja sheria mchana kweupe

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Kwa Dar imekuwa ni kawaida kwa waendesha pikipiki a.k.a.bodaboda kutokufuata maelekezo ya taa za barabarani, wao wanachomoka jinsi wanavyotaka, iwe taa zimeruhusu kwenda kwingine ama la mara na nyingi askari wanaoongoza magari wanakuwepo tusaidianane katika hili
 
Back
Top Bottom