Polisi wa India wanagonga kwelikweli.Mtuhumiwa anagongwa huku akipelekwa alipotendea uhalifu

Uko sahihi, ingawa Asia afadhali kidoooogo. Lakini nao ni subhumans on the overall figure
Unaposema Asia afadhali kidogo wapi unahisi ndio wanaongoza kwa kuwa na maisha mithili ya mahayawani
 
Ushenzi ambao wazungu wamefanyia binadamu wenzao hapa duniani hakuna race itakuja kuwafikia
Hao ndio masters wa kudehumanize watu wengine
Nineshangaa sana mwamba mmoja kawatetea hivi mtu kama Hitler ni mmoja ta watu washenzi kuwahi kutokea duniani
 
Ushenzi mtupu. Duniani watu ni wazungu tu, wengine ni uchafu
Hakuna ..kama huyo aliye kamatwa ni wale washenzi wa dini ya mudi boy na itikadi zao za kishenzi basi inatakuwa wagongwe haswa...wahindi awataki itikadi za dini za kigai
 
Hawa India usiombe uguse kwenye magereza zao!!
Mfungwa aliyeishi magereza za India akihamishiwa jela kama ya Ukonga ataona yuko hotelini.
 
Nineshangaa sana mwamba mmoja kawatetea hivi mtu kama Hitler ni mmoja ta watu washenzi kuwahi kutokea duniani
Wengi wao wanapenda tu kuabudu wazungu. Tayari wameshakubali wao ni inferior so wanaropoka ignorant statements kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…