Polisi wa Kenya "mdebwedo", wazidiwa nguvu na wanawake, watimua mbio na silaha zao

Hasa hao waumini wa kanisa takatifu katoliki wanasali na inaonekana walikua kwenye maadhimisho fulani hivi wao wamefuata kwenda kuwapiga afu askari wote Afrika wanafanana matendo na akili
 
Yn ww Wakenya wangekujua wangekunyonga kwa mikono yao mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…