Polisi wa Kenya ni Aibu

Bonge la aibu!! Polisi wanachokifanya ni kujiaibisha, unatumia risasi kupambana na wananchi?!
 
Mimi nafikiri EAC yote ni mbovu na hakuna aliye salama, na wala wakumsuta mwenzie

Mleta mada Unasahau wa hapa kwetu mwaka jana walipiga mazoezi mpaka na MIZINGA ati kisa ukuta?! Africa hasa mashariki ni zaidi ya aibu. Uganda, Tz, Burundi, Rwanda, Kenya & S Sudan hakuna wa knyoshea mwenzie mikono!!
 
Huyo Mjaluo pia Muhuni ana haribu nchi, akubali yaishe, bahati yake yupo kenya angekuwa kwa mseven angekua hana Meno leo. Uwezi fanya nchi iwe na vurumai kila siku, japo sisapoti wakichofanya polisi kurusha mawe kwa raia na magari lakn pia Kenya inahtaji kufanya vitu vingine vya msingi sasa nyang'au mmoja tu anaondoa amani
 
kumbe ile orodha iliyosema jeshi la polisi la Kenya ni la tatu kutoka mwisho duniani kwa udhaifu ilikuwa kweli. naanza kuelewa sasa.
 
Polisi wajinga sana hawa haijapata onekana, wanawapiga risasi wafuasi wa nasa bure tuu, hivi hii miili wataikula ama nn! Yaani hii nchi inachefua wakati mwingine!!
 
Huna hoja!! Kwani aliwaalika hao wafuasi wake wajitokeze kumlaki?! Kuna mambo ya kutumia akili tu na jambo likapita.

Hapa kwetu napo siku ya kurudia Lissu hatakuwa haya haya . Watawala hawapendi kuona mtu mwingine ana aminika na wananchi !! Na hapo Ndipo ilipo shida, siyo kabila la mtu!!
 
 
Huyo Lisu alipayuka na kumuunga mkono Uhuru. Akirudi wafuasi wake watandikwe kweli kweli kama hao wakenya. Polisi wa bongo waige hiyo demokrasia ya Kenya. Hakuna kitu kitapungua hapo.
 
Huyo Lisu alipayuka na kumuunga mkono Uhuru. Akirudi wafuasi wake watandikwe kweli kweli kama hao wakenya. Polisi wa bongo waige hiyo demokrasia ya Kenya. Hakuna kitu kitapungua hapo.
Unaona akili ya kondoo hii ina tamani kunywa damu ya WaTz wenzie kisa wamepishana itikadi?! Huyu akiwa police hawezi piga risasi hewani atamlenga mwandamanaji !!!
 
Hivi mwaka ule pindi wanafanya mazoezi hadharani si yalikuwa yanatokea haya kama wangeandamana???
 
Unaona akili ya kondoo hii ina tamani kunywa damu ya WaTz wenzie kisa wamepishana itikadi?! Huyu akiwa police hawezi piga risasi hewani atamlenga mwandamanaji !!!
Hamna cha kupishana itikadi wala nini, hao wafuasi wa Lisu wanyukwe haswa manaake Lisu alituasa tuige demokrasia ya Kenya. Sasa nimekosea wapi hapo wakati mimi nakumbusha tu. Wewe vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…