Polisi wa Kenya ni Aibu

kumbe ile orodha iliyosema jeshi la polisi la Kenya ni la tatu kutoka mwisho duniani kwa udhaifu ilikuwa kweli. naanza kuelewa sasa.
Hawa polisi wa kenya wana rekodi nyingi mbaya! Ukiacha hiyo uliyosema, pia wanashika nafasi ya tatu duniani kwa askari wake kuua wananchi, wakitanguliwa na USA na SA.

Nadhani baada ya hapa watashika nafasi ya pili kwa kuua wananchi.
 
Tatizo unaliona kwa Raila n.a. hulioni kwa Uhuru/Ruto n.a. Tume?

Isingekuwa Icc n.a. Katiba wangeapishana "kihuni" kama Kibaki 2007. Hilo ndo unaona sawa?

Wakenya hawapiganii Raila kuwa Rais.wanataka haki,usawa n.a. uadilifu! Kupigania vitu hivyo ni heshima n.a. bora kuliko kukubali udhalilishaji.
 
Tatizo la majeshi ya Afrika yanashindwa kutofautisha kati ya siasa na majukumu yao
 
Aibu kubwa kwa Chadema.

tena aibu kama chama pinzani kinacho lalamikia ubovu wa mamlaka na matumiz ya nguvu nyingi kwa upinzani na utawala wa piga risasi na kuzuia maandamano,na nukuu kauli ya lisu-je mlie kua mna muita baba wa democrasia mmemuona?mlio kua mkipost picha zake kwa unafik wa ali ya juu mme muona ?wembe unao mnyoa raila na wafwasi wake sisi makamanda hata tusipo tia maji vichwa vyetu uta tunyoa tuu,sasa kama kweli cc ni watetea haki tumkashfu uhuru kwa ujinga huu,ila kama cc ni wa fata siasa za mitandaoni basi tuondelee kusifia uhuru ila damu zinazo mwagika inchini kenya harufu yake ita tukaa vifuani na puani maaishaa-chadema tupooo,

tujifunze kukoselewa pale tulipo kosea kwa mafunzo mema cc si malaika
 
lisu yupo Kenya kwa matibabu; hatujamsikia akilikemea hili Katika zile audio clips anazozitoa Mara kwa Mara. Au ni kwakua wanaomuangalia huko ndio hao wanaotenda huo unyama.
 
lisu yupo Kenya kwa matibabu; hatujamsikia akilikemea hili Katika zile audio clips anazozitoa Mara kwa Mara. Au ni kwakua wanaomuangalia huko ndio hao wanaotenda huo unyama.

hata kama yupo huko mkuu lisu ,ok anaumwa tumpe pole ila cc tulio huku hatuoni nguvu za dola zinavo watesa wapinzani wenzenuu au mnajua kuyasema ya hapa tuu hata huko mnako sema kuna uhuru na democrasia pindi ikivunjwa mkemee,najua sisi tuli hamaki tuu kua mkuu wa chama cha rangi ya shamba alimsapoti mjaluo tukaona na cc tueke upinzani kwa hilo -
 
Aisee, kweli hii ndo Africa. Trump alikuwa sahihi sana
 
hapa ukimkuta mtz sasa yaani hata wasingejaribu kupita sisi ni waoga balaaaa...sema askari wetu wako imara ukilinganisha na hao wa kenya, nawaza tu hapa kwetu pasingetosha kwa mtindo huu....
 
Mlitarajia Polisi wafanyaje kupambana na hao vibaka!? Raila na kundi lake ni washamba sana na wala hawawaulimii mashabiki wao. Kukosa kwake urais na marehemu baba yake kumengeuza chizi!
 
Polisi WANAWARUSHIA MAWE RAIA, HUO NI UHUNI A HALI YA JUU.
KUSHAMBULIA MAGARI YASIYO NA SILAHA HAKUBALIKI.
KENYATTA MUST STEP DOWN

Pumbafu kabisa! kenyatta a stepdown kwa lipi? Raila mpaka aende jando ndiyo atakuwa Rais bila hivyo atahangaika sana na hilo govinda lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…