Polisi wa Kenya wanapata faida gani kupigana na magenge yaliyokata tamaa na maisha Haiti?

Polisi wa Kenya wanapata faida gani kupigana na magenge yaliyokata tamaa na maisha Haiti?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Huwa naangalia video jinsi vikosi maalumu vya Kenya Haiti wanavyokomaa mtaani kupambana na magenge ya waarifu huko Haiti.

Wale jamaa ukwaangalia na kiongozi wao Babacue ni watu waliokata tamaa na maisha. Hawana cha kupoteza. Ndio maana wazungu wamekwepa hilo jukumu na kutafuta umasikini mwenzao mke ya aingulie Kati.

Watu hawana Uniform, wahuni wanafanana na Raia, wakati mapolisi Hao wa Kenya wanayuniform, rahisi kuwaona na kuwavizia mtaani.

Najiuliza kwa nini Kenya? Wa apata faida gani? Mbona kuna nchi nyingi tu zenye uwezo mkubwa na ziko carrebean au kusini au kaskazini mwa US wamewaacha hadi kuja kutafuta Kenya ambao Gen Z tu wanawatoa jasho?

Wajuvi mtujuze.
 
Kikubwa pesa hapo wanalipwa na UN na sio wakenya tu, wapo mataifa kama manne hivi.

USSR
 
Back
Top Bottom