Binadamu tupo wa aina nyingi kuna wale ambao ni wazito wa kuelewa hata wakiona ujumbe wa picha unaeleza mana kamili kwao ni vigumu kuelewa ujumbe huo hilo linatokana na akili zao kusita kukuwa .
Nini cha ajabu hapo! Yako wapi macho ya fundi saa! We only see what we want to see! I see the Police officer questioning a woman involved in a car crush!!!