Polisi wa mama ndio walioteka akina Sativa........

Sawa peleka huo ushahidi mahakamani ukawafunge
 
Natamani kuwaandika ila mjue Polisi ni kasha la kushikishwa uchafu, wahusika wakuu hufanya kazi na Polisi kwa kuwa mamlaka ya kudeal na Raia na Usalama wa Mali zao inaaminika ni kazi ya Polisi.
 
Umebarikiwa uwezo wa akili na ufahamu mzuri...hongera sana!
 
Hapana,
huenda ni walinzi binafsi wa heche ambao ni makatili vibaya sana ambao pia walimpiga na kumuumiza vibaya sana binti Sigrada Mligo pale Njombe, huenda ni hao hao ndio walimdhulumu kibao na huyo sativa,

Si hivyo tu,
ilifikia mahali hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alikua anavaa bullet proof vest, haikufahamika mapema alitishwa na walinzi binafsi wa heche ambao ni katili sana au vinginevyo,

But mwenyekiti mpya wa Chadema alikua akivaa bullet proof vest kuingia Chadema HQ sijui alikua anaogopa nini, sasa hivi havai tena πŸ’
 
Yeye hajali hata pakiharibika kiasi gani. Amesha jiandalia makazi sehemu nyingine yeye na jamii yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…