Polisi wa mama ndio walioteka akina Sativa........

Murilo etc watakuja kujibu siku moja
 
Mungu amlaani yeyote aliyetoa maagizo kutesa wananchi, kuwapiga, kuwaachia mbwa wawajeruhi
Yaani Mungu wetu ni mwaminifu na hukumu yake ni ya kweli.
 
Huyu dada ni kichaa kidini halafu akachanganya na ccm ndio akawa goigoi kabisaaa
Mtu anajiita wa Mungu na kila siku anabariki uovu, uonevu, wizi, ubadhirifu nk hawezi kuwa mtu wa Mungu hata kidogo.
 
Mtu anajiita wa Mungu na kila siku anabariki uovu, uonevu, wizi, ubadhirifu nk hawezi kuwa mtu wa Mungu hata kidogo.
Wajinga kama hawa nawajua sana kaka mkubwa
 
Nonsense, usikanyage kwenye uzi wangu kuandika mashudu yako...pumbafu!
 
Na Chalaboy keshasema huko kwa yeyote aloumizwa na polis aende akajieleze polisi na walioumizwa mara moja wachunguzwe kusubiri taratibu za kisheria



Umbwa Mimi
 
Na Chalaboy keshasema huko kwa yeyote aloumizwa na polis aende akajieleze polisi na walioumizwa mara moja wachunguzwe kusubiri taratibu za kisheria



Umbwa Mimi
JF mnawapa leads hawa wapuuzi watujue members?!
 
Huyu uliemquote anajua kusifu na kuabudu tu, na kujifanya amekariri vifungu vya biblia huku akitetea watawala dhalimu..ni wale wanaoenda kwenye nyumba za ibada kujionyesha tu.
Anajifanya mjanja ila anaenda kanisani na UDONGO Wa upakoi kisha anauziwa maji ya 300k na mafuta ya alizet yasliyobatizwa upako
 
Mkuu hazbaaa akikuzingua kidogo tuu nicheki asee sina ploblem na singo mazaz

Akili unayo Mingi😍😍😍
 
mama D njoo ona wanawake wanaojitambua
Coment yako inaonyesha wazi una mawazo hafifu, inatokana na kile unachokijua. Kubali hujui kila kitu na neno lako sio sheria

Halafu ukome kugombanisha wanawake


Atakupa mistari ya biblia kujipendelea , mdhambi kama mwijaku na HAUMIi ila anajifagilia wakati nafasi inamsuta mama D sio mtumishi wa Mungu ni Moja ya wafanyakazi wa serikali ya ccm Dodoma anayejufanya mlokole.

Kalagabaho🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…