stujadiliane
Member
- Jun 2, 2017
- 66
- 84
Polisi nchini Thailand wanamtafuta mtu mmoja aliyejiua na kutokomea kusiko julikana ili ajibu mashitaka ya kutesa kujerui na kujisababishia mauti
kesi hii ya ajabu na yaaina yake imefunguliwa na Mke wa jamaa huyo akimtuhumu kutelekeza watoto na kumuachia majukumu ya kulea watoto wao wawili ambao ni ken na Lisa
Polisi wameapa kuhakikisha wana mpata na kumrudisha ili ajibu mashitaka yanayo mkabili.Hakimu mkuu amewataka polisi kukamilisha upelelezi mapema ili kesi ianze kusikilizwa mapema na kutolewa uamuzi