stujadiliane
Member
- Jun 2, 2017
- 66
- 84
"CCM" kumbe wametapakaa sana duniani!!
kweli ccm chama dola hadi Thailand: akili za kudai mikojo ya watuPolisi nchini Thailand wanamtafuta mtu mmoja aliyejiua na kutokomea kusiko julikana ili ajibu mashitaka ya kutesa kujerui na kujisababishia mauti
kesi hii ya ajabu na yaaina yake imefunguliwa na Mke wa jamaa huyo akimtuhumu kutelekeza watoto na kumuachia majukumu ya kulea watoto wao wawili ambao ni ken na Lisa
Polisi wameapa kuhakikisha wana mpata na kumrudisha ili ajibu mashitaka yanayo mkabili.Hakimu mkuu amewataka polisi kukamilisha upelelezi mapema ili kesi ianze kusikilizwa mapema na kutolewa uamuzi
Hahahahaaa! Mjadala upi tena mkuu? Hao askari ni "wapumbavu" sana. Sasa weye unadhani au ulisikia nani waliitwa wapumbavu na Sizonje? Hakika wapumbavu wapo sehemu nyingi duniani.Naomba tujadiri mada hili nitukio la kweli siyo fumbo.Mimi sijaitaja ccm wala kuilenga hili nijambo ambalo ni melikuta hapa Thailand ni ukweli
Polisi nchini Thailand wanamtafuta mtu mmoja aliyejiua na kutokomea kusiko julikana ili ajibu mashitaka ya kutesa kujerui na kujisababishia mauti
kesi hii ya ajabu na yaaina yake imefunguliwa na Mke wa jamaa huyo akimtuhumu kutelekeza watoto na kumuachia majukumu ya kulea watoto wao wawili ambao ni ken na Lisa
Polisi wameapa kuhakikisha wana mpata na kumrudisha ili ajibu mashitaka yanayo mkabili.Hakimu mkuu amewataka polisi kukamilisha upelelezi mapema ili kesi ianze kusikilizwa mapema na kutolewa uamuzi
Naomba tujadiri mada hili nitukio la kweli siyo fumbo.Mimi sijaitaja ccm wala kuilenga hili nijambo ambalo ni melikuta hapa Thailand ni ukweli
"Aliyejiua na kutokomea kusikojulikana" Inawezekana kweli !!?Polisi nchini Thailand wanamtafuta mtu mmoja aliyejiua na kutokomea kusiko julikana ili ajibu mashitaka ya kutesa kujerui na kujisababishia mauti