Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Polisi wa utawala (Administration Police) wakipewa usaidizi na KDF walikua wanajitayarisha kuhakikisha upigaji kura utafanyika kiusalama kwani wako tayari kumudu mtu yoyote atakaeleta ghasia..
Kama we ni mwananchi wa kawaida, Ukimaliza kupiga kura enda ukalale au ungojee watokeo nyumbani mwako kupitia runinga au redio, usitafute shida kwani hawa jamaa FFU naona mwaka huu wamejitayarisha vilivyo