Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.

Ni sababu gani za msingi zinazowafanya polisi waamue kupiga wananchi, ambapo kwamba njia nyingine zote za kusimamia sheria zimeshindikana isipokuwa kuwapiga?
ni sheria ipi unayoifahamu inaruhusu kupiga, kujeruhi na kuua raia under whatever circumstance??Siku zote nakukumbusha subiri yakupate wewe au ndugu yako auawe then you will regain your sense and think twice when it come to the question of Tanzanian police!!Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.
sio aende mimi namuombea sana limpate yeye au ndugu yake atawanywe kama marehemu Daud(R.I.P) tuone kama ataendelea na kauli hizi za kejeli wakati watu wanauawa na kutiwa vilema vya kudumu ndani ya nchi yao bila kosa!Mkuu nakushauri siku moja uende huko ili ujionee mwenyewe na kujua watu wanachomaanisha
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.
Sababu kuu ya polisi kutumia nguvu ni pale ambapo wanaona usalama wao au wa wanaowalinda uko hatarini. Kitendo cha kuvamia na kushambulia mgodi kinachozoeleka kufanywa na wananchi waishio migodini kinaweza kuwa mfano mzuri wa sababu inayoweza kuwafanya askari kutumia nguvu za ziada. Sidhani kama ni sahihi maisha ya watu wengi yahatarishwe kwasababu kuna wananchi wanajisikia kufanya hivyo.
malipizi ni hapa hapa duniani iko siku na wewe utapata shida wanazopata wenzakoHao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.
Ni sababu gani za
msingi zinazowafanya polisi waamue kupiga wananchi, ambapo kwamba njia
nyingine zote za kusimamia sheria zimeshindikana isipokuwa
kuwapiga?
Ukweli nakuheshimu sana mzee mwanakijiji,kwa nini kwanza tusiwafundishe raia kutii mamalaka na kuacha vurugu? haiingii akilini eti polisi aje nyumbani kwa mtu ampige pasi na sababu! hebu tuache ushabiki!
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.
Ni sababu gani za msingi zinazowafanya polisi waamue kupiga wananchi, ambapo kwamba njia nyingine zote za kusimamia sheria zimeshindikana isipokuwa kuwapiga?
Polisi hutumia nguvu pale tu watu wanapofanya ukaidi wa kutokutii amri za mwanzo. Usijifanye hilo hulijui.