Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Siku hz ht mtu akifanya uhalifu anakja kutafuta huruma huku. Eti hatutarudi nyuma, yaani hautarudi nyuma kufanya uhalifu? Utarudi tu kwa kulazimishwa
OKTOBA TUNATIKIHawa wanaigizaga tu kima hawa wazee wasipewe airtime kabisa. Hawa trash ni kuwapotezea
NO REFORMS NO ELECTION
Katiki uzidi kuuza nchi yakoOKTOBA TUNATIKI
Ile clip ya jana kuwa raisi kachanganyikiwaShangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Punguza kunywa VISUNGURA na matumizi ya UGORO Mkuu hii itakusaidia kutafakari kwa kina kabla ya kuandika.Siku hz ht mtu akifanya uhalifu anakja kutafuta huruma huku. Eti hatutarudi nyuma, yaani hautarudi nyuma kufanya uhalifu? Utarudi tu kwa kulazimishwa
Jamaa mshamba sana yule alibaki na kipa aka paishaHadi wanawake wenzie anawakamata tu.
Ulaaniwe Mabeyo popote ulipo