Polisi wafunga comments za post ya Tanzia ya Richard Ambwao

1975 - 2026 = 51 years old

Alikuwa bado kijana sana kumbe..

Mimi nilidhani kafa kwa uzee wa miaka 70+ kumbe inawezekana ikawa ni kwa sbb ya mastress au kuchinjwa na wenzake kwa kuwa alikuwa na siri zao..

Dunia si kwetu, tuishi kwa kupendana na kutendeana yaliyo ya haki na mema sisi kwa sisi ili tufapo, tufe kwa amani tukaishi na Baba Mungu milele..

Mungu amweke mahali panapomstahili kama haki yake...πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Kuendelea kudhani kwamba woote wanao comment kinyume na mazoea pale inapotokea kifo cha askari au kiongozi wa serikali ni wafuasi na wanachama wa CHADEMA ni kunilisha upepo ambao haushibishi

Wakae chini watafute walipokosea wayaweke sawa na wananchi, hii hali sio nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…