Polisi wafyatulia risasi waandamanaji Masimba, Wanne Wauawa

Polisi wafyatulia risasi waandamanaji Masimba, Wanne Wauawa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Waandamanaji hao wanadaiwa kufunga kwa mawe barabara kuu inayounganisha bandari ya mombasa na nchi jirani kwa masaa kadhaa, wakionyesha kukerwa na Serikali kutotatua mgogoro wa kibinadamu na wanyamapori uliosababisha vifo 8 ndani ya miezi 3 katika eneo hilo, lililopakana na mbuga

Baada ya tukio hilo gavana wa kaunti ya Masimba aliandika kupitia ukurasa wake wa twitter “Polisi wanapaswa kuacha kutumia nguvu kupita kiasi wanapojaribu kudumisha sheria na utulivu katika mazingira kama ya leo, vifo hivi vingeweza kuepukika kwa uelewa zaidi,"

..................................................

Three people died on the spot while another was pronounced dead at a local hospital after sustaining gunshot wounds in a standoff between police officers drawn from the elite GSU police unit and protestors on Thursday.

Makindu Hospital confirmed the four deaths adding some six other people had been sustained injuries of varying degrees.

The police unit was deployed to quell protests at Masimba along the busy Nairobi-Mombasa Highway.


Aggrieved residents barricaded the road for hours cutting off the transport corridor as motorists and transporters watched helplessly.

Locals staged the demos to express displeasure with national administration over unresolved human-wildlife conflict in the area that had resulted in an eight deaths within three months, the latest victim being a teacher who was killed a week earlier.

The police did not comment on the operation at Masimba.

Source: Capital News
 
Hii ndio Demokrasia?, au kwasababu waliouliwa sio wanasiasa ni raia wa kawaida ambao huko kwenu raia wa kawaida ni "second class citizens?" Bado mnataka kujilinganisha na Tanzania katika Demokrasia na Uhuru wa kujieleza?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
IamLee

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom